Ni kanchi duni, muda mwingi kanawaza kupigana na marekani, swala ambalo so impossibleWhat they tell us about north korea is wrong.
Angalia watoto wadogo walivyo na uwezo wa hali ya juu.
We have many things to learn from North Korea
kuwa abuse au kuwajengea uwezo? wewe endelea kuwajaza wanao mayai ya kisasa huku ukiendelea kusubiri wakue ili usi wa abuse.Watoto wadogo sana kuwachezesha choreography hivyo ni kuwaabuse tuwanakosa mda wa kucheza as kids ....AF inaonesha DRPK imekua karibu sana na CCM toka zaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimebadilisha mawazo ntaoa North korea.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]We have many things to learn from North Korea
Wote lengo lao moja mkuu kutawala kiimla mkuuWatoto wadogo sana kuwachezesha choreography hivyo ni kuwaabuse tuwanakosa mda wa kucheza as kids ....AF inaonesha DRPK imekua karibu sana na CCM toka zaman
Sent using Jamii Forums mobile app