Maalim shewedy, ninakuhakikishia marekani ameshakuwa wa baridi ndio maana hataki kuingia kwenye 18% ila bila shaka ataingia tusubiri hili jaribio linalo fuata litakuwa na utamu wake usisahau kuwa haya makombora yametengenezwa kwa technology kubwa sana yamefungwa camera adi linapo dondoka linakuwa linaoneka na mkuu kim!!!

Sure mkuu kim alisema huwa anafurahigi sana anapo ona jinsi dunia ilivyo nzuri kupitia picha zinazo tumwa na makombora yakiwa angani!!!

Na asipo nasa mkuu tutamfuta huko huko tukifanya tena jaribio tunaongeza acceleration likaangukie huko huko kwake tuone atajibu vipi!!
Akigoma tutajua cha kufanya!!!
Mkuu furahi tu wakati tukimshikisha adabu babu yenu ole wake aongeye tena!!!
Trump alitoa stament baada ya kiduku kutishia kuishambulia Guam,Trump akamwambia akijaribu tu dunia itashangaa kwa moto na force atakayokutana nayo dogo,na atajuta.Hapa issue ni kuwa,Trump jana kasema iwapo korea watawatishia tena watakumbana na nguvu kubwa ambayo dunia haijapata kushuhudia,
sasa haijapita mda korea wametishia kuipiga Guam,
sasa tungoje marekani watatimiza ahadi yao ama Trump alitoa povu?.
Long live great leader Kim Un...
Trump alitoa stament baada ya kiduku kutishia kuishambulia Guam,Trump akamwambia akijaribu tu dunia itashangaa kwa moto na force atakayokutana nayo dogo,na atajuta.
Hii mikwara ya N.K haijaanza leo,tokea baba yake kiduku alitoa povu hadi kifo kilipomkuta,hakuthubuta hata kurusha risasi moja.The same applies to dogo,atapiga kelele weee but hatodhybutu kufanya anachokisema...Muache abweke tu
In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
Na hakuna vita itakayopiganwa pale,we achana na mikwara ya Trump,ma baba wa kupanga vita wapo pale Pentagon na CIA,hawa wakisema "Mr pres,we are ready to move". Ndo unajua hapa vita ipo hot.Toka huu mgogoro uanze ulishaskia Pentagon wakisema chochote?.Mad dog yupo normal and optimistic kuhusu hii tension,hajaonyesha kupanic wala kutoa kitisho chochote.Thats means hakuna vita ila sisi tunapoteza muda wetu humu kutoleana mapovu na wishful thinking..Dunia ni sehemu nzuri sana kuwa hai hivi leo.
Tutashuhudia historia kubwa kama tulivyoshudia ya ISIS.
Na itasomwa miaka mingi
Analysis yako wewe iko wapi?..Andika yako tuisome,Jiamini kama mwanaume acha kuwa -ve kama kina dada.
DuhhNa asipo nasa mkuu tutamfuta huko huko tukifanya tena jaribio tunaongeza acceleration likaangukie huko huko kwake tuone atajibu vipi!!
Akigoma tutajua cha kufanya!!!
umemix timeline mkuu,Trump ndo alianza kusema iwapo korea watatoa tena vitisho basi watakumbana na nguvu na moto ambao hawajawahi kutana nao,masaa machache baadae korea ndo wakatishia quam,Trump alitoa stament baada ya kiduku kutishia kuishambulia Guam,Trump akamwambia akijaribu tu dunia itashangaa kwa moto na force atakayokutana nayo dogo,na atajuta.
Hii mikwara ya N.K haijaanza leo,tokea baba yake kiduku alitoa povu hadi kifo kilipomkuta,hakuthubuta hata kurusha risasi moja.The same applies to dogo,atapiga kelele weee but hatodhybutu kufanya anachokisema...Muache abweke tu
In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
umemix timeline mkuu,Trump ndo alianza kusema iwapo korea watatoa tena vitisho basi watakumbana na nguvu na moto ambao hawajawahi kutana nao,masaa machache baadae korea ndo wakatishia quam,Trump alitoa stament baada ya kiduku kutishia kuishambulia Guam,Trump akamwambia akijaribu tu dunia itashangaa kwa moto na force atakayokutana nayo dogo,na atajuta.
Hii mikwara ya N.K haijaanza leo,tokea baba yake kiduku alitoa povu hadi kifo kilipomkuta,hakuthubuta hata kurusha risasi moja.The same applies to dogo,atapiga kelele weee but hatodhybutu kufanya anachokisema...Muache abweke tu
In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
Walishambulia kisiwa gani,na watu wangapi walikufa?.Unajitahidi kuwapa N.K kick na kuwapandisha chart waonekane ni wababe kuliko US.Hicho ndicho huwa unafanya siku zote.Hakuna na wala haijawahi tokea rais yeyote wa marekani aliyowaogopa NK,wala Hao SK hawaogopi chochote.Kinachoendelea hapa ni another page ya mikwara ya N.K ya miaka yote.Trump anajibu sio kutafta kiki la hasha ila jamaa amezoea ubabe so sio mstamilivu,yeye anaona kujibu inaleta relief kwake.Mazoezi yataendelea kufanyika na tareh 21/08 kuna joint exercise kati ya US na SK.Dogo panky yeye aendelee kutoa vitishao tuu lakini anafahamu fika uwezo wa kurusha hayo makombora yake kwenda GUAM hana wala haitakaa itokee.Wanachohofia US na japan ni direct confrontation na China ikiwezekana na Urusi kabisa.Maana endapo US ataishambulia NK kubadili utawala ni lazima china ataingilia tu,Hapo itakuwa kama ile vta ya 1950.hapatakuwa na mshindi zaid ya watu kufa kwa wingi...umemix timeline mkuu,Trump ndo alianza kusema iwapo korea watatoa tena vitisho basi watakumbana na nguvu na moto ambao hawajawahi kutana nao,masaa machache baadae korea ndo wakatishia quam,
baada ya hapo Trump akatishia tena,na baada ya masaa machache korea wakasema wameandaa kombora nne ziko standby kufyatuliwa across japan kuelekea uelekeo wa quam,katikati ya mwezi huu,yaani keshokutwa.
Kiini cha vitisho vya korea usidhani ni wehu hawana akili,ni kwamba kila mwaka marekani na korea kusini wanaleta mandege na mameli hapo kufanya mazoezi ya kijeshi,
north korea wanaona huo ni uchokozi wa wazi ndo maana kila mwaka huwa kunalipuka ugomvi,tatizo ni mazoezi hayo,
babake kim Un hakuwa mpole kama mtoto wake,
na infact alishazamisha manowari ya korea kusini na hakuna mtu alikohoa,
na alishashambulia kisiwa kimoja cha korea kusini na hawakumjibu,kiufupi korea kaskazini hawapendi kufanyiwa mizaha mizaha,japan anajua na pia korea kusini wanaelewa vyema,na marais wa marekani waliopita wanajua vyema,
sasa Trump anajitoa ufahamu,
kwa ajili ya kick na font feg