T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,818
- 46,768
North Korea hii hii ambayo miaka ya 1990 ilipata njaa kubwa na serikali yao yenyewe ikasema watu 250,000 walikufa, tuachane na makadirio ya UN ambayo wanasema ni zaidi ya milioni. North Korea ambayo hupokea misaada ya chakula, ambayo ni cheap labour wa China na makampuni ya South Korea yaliyokuwa yamewekeza kwenye factory ya mpakani iliyofungwa miaka kama 7 iliyopita. Hata South wenyewe walikuwa wanafurahia kuwafanyisha kazi ndugu zao wa Kaskazini kwa robo ya ujira na bila mikataba.So mtu mmoja anarepresent Taifa? South wana matatizo yao kama North, matatizo yanayoletwa na Ubepari na Income inequalities, kuna Mafukara wa Kutupwa huko south kitu ambacho huwezi kukikuta North.
1. Literacy rate ya North korea kwa watu wenye miaka 15 ni asilimia 100, Hakuna mtu Mjinga asie jua kusoma na kuandika Huko
2.Elimu bure na mazingira mazuri, Shule zao za serikali wachache, vifaa vipo,
Fun fact Nchi za West zinatudanganya North Korea ni wajinga, Elimu yao Haina maana, ila kukitoa Hacking yoyote ama Ransomware Hao hao West wanatuambia tena Eti ni North korea wamefanya Hivyo.
Angalia primary hio
Then linganisha na shule zetu za Chini ya Miembe.
Atakufa kizembe kama huyo mwenzie ambaye sasa hayupo.Kiduku ni noma juzi kabeba jeneza la mtu aliyekufa kwa korona wenzie wamevaa barakoa yeye walaaaa kama jiwe tu ,yule mwamba mtata sana
North Korea Ina njaa muda Mrefu sana, ila jiulize njaa ya North Korea imetoka wapi? Njaa imetokana na Mabomu ya Marekani.North Korea hii hii ambayo miaka ya 1990 ilipata njaa kubwa na serikali yao yenyewe ikasema watu 250,000 walikufa, tuachane na makadirio ya UN ambayo wanasema ni zaidi ya milioni. North Korea ambayo hupokea misaada ya chakula, ambayo ni cheap labour wa China na makampuni ya South Korea yaliyokuwa yamewekeza kwenye factory ya mpakani iliyofungwa miaka kama 7 iliyopita. Hata South wenyewe walikuwa wanafurahia kuwafanyisha kazi ndugu zao wa Kaskazini kwa robo ya ujira na bila mikataba.
Kiongozi wao miaka michache kama mitatu nyuma hapo aliwaambia raia wale kidogo chakula hakitoshi. Mwaka jana au juzi alienda kuzindua kiwanda cha mbolea kwa mbwembwe nyingi na bashasha, kiwanda chenyewe walikijenga kwa kusuasua maana priority zao ni silaha. South Korea huwezi kuta Rais wao anazindua kiwanda cha mbolea kama mkombozi. Ni viwanda vya kitoto hata vikifunguliwa havitangazwiView attachment 2237775
1. Mkuu kwako wewe Magari ndio Standard yako ya Maisha Mazuri, ila wangapi wana Magari na Manyumba wakipata Kigonjwa kidogo tu kama Cancer wanauza kujitibu mpaka wanakufa maskini? Vitu kama Elimu bora, Afya Nzuri ni vizuri kuliko Magari na Vitu Vyengine luxury visivyo na maanaHiyo picha ya kwanza ndio katikati ya mji. Sasa rudi kwenye picha ya kwanza niliyoweka hapo juu utaona hiyo hotel kubwa kabisa na maarufu kwao barabara karibu nayo haina magari.
Bahati nzuri umesema North Korea wanatoroka kwenda South na baadae serikali ya North inawasamehe maelfu warudi. Kumbe uwa wanatoroka? Sasa unajua ni wangapi wa South Korea waliwahi torokea North, najua wawili tu. Hapo mwenye akili na ajiulize, kati ya Uturuki ambako raia wa Syria wanapambana kukimbilia na Syria ambako raia wake wanapambana kuondoa wapi kuna maisha mazuri. Kati ya Marekani na Mexico, kati ya Burundi na Tanzania.
North Korea wanabana vyombo vya habari na kila kitu wanaaminishwa wako vizuri ila raia wanatoroka na pale mpakani walinzi wao wanampiga risasi mtorokaji akipatikana. South Korea wana uhuru wa habari na hawatorokei Kaskazini, wala jeshi lao haliui raia wa upande wowote anayetoroka. Kwa akili tu ya mtoto mdogo inajulikana wapi kuna maisha magumu
Wewe ungeuliza vipi!?Nimependa kingereza chako ulichotumia ku-google: 'How many cars in North Korea'...najitahidi kuelewa ulichomaanisha lakini hadi sasa nimetoka kapa
Gari ni nyenzo ya kurahisisha usafiri. Naona wewe unachukulia kumiliki gari ni utajiri.1. Mkuu kwako wewe Magari ndio Standard yako ya Maisha Mazuri, ila wangapi wana Magari na Manyumba wakipata Kigonjwa kidogo tu kama Cancer wanauza kujitibu mpaka wanakufa maskini? Vitu kama Elimu bora, Afya Nzuri ni vizuri kuliko Magari na Vitu Vyengine luxury visivyo na maana
2. Sijaelewa Logic ya Syria huko kuna Vita sijui mfano huo unAingiaje hapa.
3. North Wengi wanaokuja South wanajuwa, Wengine wanataka Kurudi wanazuiwa Kiufupi ni propaganda kwenda Mbele, Soma hapa
Mambo muhimu kwenye hio Article'Forever strangers': the North Korean defectors who want to go back
Nearly 30,000 defectors live in South Korea, but not all are happy to have escaped the regime and hope a summit between leaders will help them go homewww.theguardian.com
-kuna watu kibao wametoka North Kuja South ila wanajuta
-ukija South wanakataa Kukurudisha North
-wa North wanafanya Hadi maandamano Kurudi kwao hawaruhusiwi
-wengi wa North Wanadanganywa wakija South watapiga Hela ila matokeo yake wanaishi kwenye Slums na wanakuwa Treated kama Second citizens, kila wanapokwenda wanabaguliwa.
4. Issue ya Media it's So funny eti Tunaziita Media za North Ni za Kipropaganda wakati West kila Siku wanadanganya, kiufupi west ni Clueless kwa Kinachoendelea North.
Dini ndio chanzo kikuu cha umaskini afrika na ndio point ambayo tutachukua miaka buku kuja kusanukaMkuu
Sisi na DINI ZETU Mbona umaskini upo tu humu NCHINI!!?na wapiga dili Ndio matajiri!!?
Gari wanazooongelea wao ni luxury cars, North Korea hawasafirishi Mahindi na mikono ama Mikokoteni, Wanaenda Makazini na Baiskeli ama Magari ya Uma Kutegemeana na Umbali.Gari ni nyenzo ya kurahisisha usafiri. Naona wewe unachukulia kumiliki gari ni utajiri.
Wapi wamesema wao wanazungumzia luxury cars!? Kwenye post yako niliyoi_quote wewe umeonesha kuwa kumiliki gari ni aina fulani ya utajiri.Gari wanazooongelea wao ni luxury cars, North Korea hawasafirishi Mahindi na mikono ama Mikokoteni, Wanaenda Makazini na Baiskeli ama Magari ya Uma Kutegemeana na Umbali.
Zipo Video Nyingi TU YouTube Zinaonesha Lifestyle yao.
Wana magari kama Mwendokasi zetu, Tena yanatumia umeme, Sisi hata Hatujafika Huko, View attachment 2237995
Pia wanaotumia Train za umeme,
View attachment 2237996
Kiufupi kwao hakuna Foleni, Husubirii masaa kwenda Kazini ama Nyumbani.
Angalia Mwendokasi Chache zilivyosaidia kupunguza Foleni Morogoro Road, Imagine dar Nzima iwe na Magari machache Binafsi na Mwendokasi kila sehemu na Train za Chini Ya Ardhi.
Pyongyang ina watu kama Milioni 3 si jiji dogo.
Hio comment yangu ni response ya Mtu alieshangaa Hoteli maarufu haina Magari ambayo Tayari imelink uwezo wa Kipesa.Wapi wamesema wao wanazungumzia luxury cars!? Kwenye post yako niliyoi_quote wewe umeonesha kuwa kumiliki gari ni aina fulani ya utajiri.
Na kuhusu foleni hiyo ni changamoto tu ya wingi wa magari na watu na wala hai_justify hii hoja yako ya kuwa huko North Korea hakuna foleni. Ndio maana miundombinu inaimarishwa kila kukicha kukabili hizo changamoto.
Mara hii suala limekuwa ni foleni tena!Hio comment yangu ni response ya Mtu alieshangaa Hoteli maarufu haina Magari ambayo Tayari imelink uwezo wa Kipesa.
Kama North Korea kuna Foleni you are welcome Shusha data
Mara hii umepata Ugonjwa wa Kusahau Tena? Hebu rudia Comment yako iliopita vizuri.Mara hii suala limekuwa ni foleni tena!
Kama ni Google ni hao hao ambao wamiliki wake ni adui wa North Korea wakubwa, kwahiyo huna tofauti na Mtu anayejitekenya na kucheka mwenyewe.Wako vizuri kwenye silaha ila magari ni anasa kwao na ni ghali au hawaruhusiwi
Ila kwa uhaba wa magari unaweza ukalala barabarani na gari isipite kabisa au moja ikakukwepa [emoji23]
Ushahidi kwa msaada wa Google
View attachment 2236454
View attachment 2236455
View attachment 2236456