Norfloxacin na pombe

Norfloxacin na pombe

callixtus

Member
Joined
May 7, 2015
Posts
86
Reaction score
31
inachukua Siku ngapi baada ya kumaliza dozi hi ndo unywe pombe?
 
Pona kabisa uhakikishe mwili umerudi kwenye hali ya kawaida, kisha jipe siku 4 - 7, baada ya siku hizo anza kunywa pombe. Bia zipo tu
 
Unaweza kunywa na pombe haina madhara ila jua kuwa nguvu ya dawa itapungua utendaji wake
 
Mkuu kunywa pombe baada ya masaa 3 tangu utumie norfloxacin wala haina madhara na pombe mi natumiaga sana tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom