Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Na isiisgie hapo, kuwe na mtihani, panel ya kuchuja . Wakitoboa hapi ndio watuhusiwe kuhombeaNadhani Mbunge awe na degree au diploma kwa sababu kuna mikataba inaingizwa mule bungeni, usipokuwa na elimu na information za kutosha tutajikuta tunatunga sheria haziendi kuleta maslahi na Ustawi wa wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Kwenye elimu kwa upande wa wabunge tusiishie kusema kusoma na kuandika ndio iwe kigezo cha kuwa Mbunge, twende mbali zaidi tuangalie kama ni diploma, stahahada, au shahada kwa sababu kwa sasa hivi hapa Tanzania wasomi ni wengi sana"-
Yuko sahihiNadhani Mbunge awe na degree au diploma kwa sababu kuna mikataba inaingizwa mule bungeni, usipokuwa na elimu na information za kutosha tutajikuta tunatunga sheria haziendi kuleta maslahi na Ustawi wa wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Kwenye elimu kwa upande wa wabunge tusiishie kusema kusoma na kuandika ndio iwe kigezo cha kuwa Mbunge, twende mbali zaidi tuangalie kama ni diploma, stahahada, au shahada kwa sababu kwa sasa hivi hapa Tanzania wasomi ni wengi sana"-
Joseph yule wa Geita,itakuwaje!!Nadhani Mbunge awe na degree au diploma kwa sababu kuna mikataba inaingizwa mule bungeni, usipokuwa na elimu na information za kutosha tutajikuta tunatunga sheria haziendi kuleta maslahi na Ustawi wa wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Kwenye elimu kwa upande wa wabunge tusiishie kusema kusoma na kuandika ndio iwe kigezo cha kuwa Mbunge, twende mbali zaidi tuangalie kama ni diploma, stahahada, au shahada kwa sababu kwa sasa hivi hapa Tanzania wasomi ni wengi sana"-
Mikataba inaingiliwa na watu wenye interest binafsi. Sio suala la wasomiHao wanaotengeneza hiyo mikataba ni wasomi lakini kiko wapi ?
Sasa kwani hao wasomi si ndio wanataka interestMikataba inaingiliwa na watu wenye interest binafsi. Sio suala la wasomi
Hii nchi ilivyo wenye interest ni wasomi tu? Ww ni mgeni ?Sasa kwani hao wasomi si ndio wanataka interest
Anazo degree za heshima mkuu .Dr MusukumaJoseph yule wa Geita,itakuwaje!!
Hii sheria CCM watasema,itaanza kutumika 2030🤣
Kwasababu zipi? King Musukuma, Kishimba na Deo Sanga ni wabunge matajiri na walioajiri wenye digrii kibao ingawa wao ni darasa la sana. Eti hao hawana sifa ya kuwa Wabunge ila walioajiriwa na wasio na digrii ndio wawe Wabunge? Inachekesha sana!Nadhani Mbunge awe na degree au diploma kwa sababu kuna mikataba inaingizwa mule bungeni, usipokuwa na elimu na information za kutosha tutajikuta tunatunga sheria haziendi kuleta maslahi na Ustawi wa wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Kwenye elimu kwa upande wa wabunge tusiishie kusema kusoma na kuandika ndio iwe kigezo cha kuwa Mbunge, twende mbali zaidi tuangalie kama ni diploma, stahahada, au shahada kwa sababu kwa sasa hivi hapa Tanzania wasomi ni wengi sana"-
ili baadae ambao hawana elimu ya digrii waanze kujitenga dhidi ya wenye digrii na kudemand kuanzisha taifa lao la wasio na digrii right?Nadhani Mbunge awe na degree au diploma kwa sababu kuna mikataba inaingizwa mule bungeni, usipokuwa na elimu na information za kutosha tutajikuta tunatunga sheria haziendi kuleta maslahi na Ustawi wa wananchi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Kwenye elimu kwa upande wa wabunge tusiishie kusema kusoma na kuandika ndio iwe kigezo cha kuwa Mbunge, twende mbali zaidi tuangalie kama ni diploma, stahahada, au shahada kwa sababu kwa sasa hivi hapa Tanzania wasomi ni wengi sana"-
Yule bibi anazo TanoAnazo degree za heshima mkuu .Dr Musukuma