Nombeni ushauri jamani

Pole Daktari mwenzangu.Kama kweli unampenda Kwa dhati Houe girl, basi endelea nae ila jiandae kukumbana na upinzani mkali toka Kwa wazazi,ndugu,jamaa na marafiki.Utaambiwa Dokta mzima unamchukua House girl!

kwani elimu ni nin kaka kwa haya mambo ? Wanaume wengi wa chuo wanapenda kutoka na walio chini yao coz hao walio nao chuo most of dem ni pasua kichwa tu
 
Kwan huko chuoni hamfundishwi kutibu waliochanganyikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…