Nombeni mnijuze kuhusu aptitude test interview TAKUKURU

Jonh-B

Member
Joined
Jan 25, 2022
Posts
6
Reaction score
6
Ndugu zanguni tangu tarehe 08/01/2022 kulifanyika aptitude test interview ya investigation office and assistant investigation kwa seem kama UDOM, MIPANGO, AND ST.JOHN wakasema watatoa majina kwa ambao watapass, naombeni kuuliza bado hawajatoa na hutoa baada ya muda gan?
 
kuwa mvumilivu kaka yawezekana bado wanasahihisha mitihani maana idadi ile watu ni wengi
 
Sawa nashukru
nimepata nguvu ya kusubiri mkuu
acha niwape nafasi, watakuja watujuze tuu
 
Ndugu zanguni tangu tarehe 08/01/2022 kulifanyika aptitude test interview ya investigation office and assistant investigation kwa seem kama UDOM, MIPANGO, AND ST.JOHN wakasema watatoa majina kwa ambao watapass, naombeni kuuliza bado hawajatoa na hutoa baada ya muda gan?
Pia waweza kutembelea mara kwa mara katika page yao kwa new update
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom