HahaahhahahhaNgoja waje wenyewe mkuu,mimi nimewahi tu siti ya mbele ili niangalie barabara vizuri.
Mkuu hii sio used ni mpya kabisa na imekuwa networkedKama printer ni used hiyo haina guarantee. Itakuwa ni kimeo.
Tradittionally kwa printer mpya unaichomeka kwenye computer yako then unaichomeka kwenye umeme kisha unachukua set up CD unaingiza kwenye CD rom na kuinstall instruction za printer kwenye computer yako. From there inaoperate kama kawaida bila shida. Hiyo printer kama sio mpya inaweza ikawa na mechanical problems. Inawezekana 'ulimi wa kulamba karatasi umeisha'...
Achana na mambo ya network. Tumia USB kuiconnect. Inawezekana internet inasumbua... Internet yenyewe unatumia Bando la chuo 😀🙄Mkuu hii sio used ni mpya kabisa na imekuwa networked
Kama printer ni used hiyo haina guarantee. Itakuwa ni kimeo.