Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669

Tunamsubiri makonda atusaidie kututaftia soko.
Yan TZ kila kitu ipo mkiani. Tunajua tu kupiga deal.
️ tizama nigerians sasa walivyoadvance katika tasnia ya filamu. Nigerian Movie zipo katika kiwango cha hollywood. Sisi huku tunalalamikia soko kila siku.
Tunamsubiri makonda atusaidie kututaftia soko.
Yan TZ kila kitu ipo mkiani. Tunajua tu kupiga deal.
Maybe yeyhuyu jamaa si nilisikia aligomea ubunge kwao na akashinda,