Nokia yaishushia tuhuma nzito Huawei, yadai 55% ya vifaa vya huawei vinadukuliwa kirahisi.

Hivyo vifaa kwa kiasi kikubwa ni kutoka USA na UK ndio watengenezaji wa patents.
 
Hahaha yaani ile kampuni ndio imeisha failed kabisa. .nashangaa sijui wanatoa wapi nguvu za kuiponda kampuni kubwa kama Huawei. ...hawaoni hata aibu
 
Daaaaah kwa moto waliouwasha leo hii sijui ingekuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…