Nokia XL for sale

Joel Julius

Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
15
Reaction score
2
Simu ipo kwenye hali nzuri kabisa bado ni mpya bei maelewano, inaanza 270 (laki mbili sabini). 0716060948
 

Attachments

  • 1417410634166.jpg
    29.6 KB · Views: 155
  • 1417410649726.jpg
    39 KB · Views: 156
  • 1417410676240.jpg
    28.4 KB · Views: 145
Mwenye 210 namwachia hiyo simu Nokia xl ni adroid sio window, inafuction kila kitu na ipo vizuri haina shida yoyote
 
Mwenye 210 namwachia hiyo simu Nokia xl ni adroid sio window, inafuction kila kitu na ipo vizuri haina shida yoyote

Mkuu nasikia hiz XL hazisupoti Whatsapp application hiyo yako ikoje ktk hilo?
 
Hapana kaka zina supoti, na inafanya kazi kama adroid ya kawaida, haina shida kabisa
 
Mkuu nasikia hiz XL hazisupoti Whatsapp application hiyo yako ikoje ktk hilo?

Ina support kaka, na mimi ndio natumia, usiwe na wasi nicheki kwa namba yangu kama utakua unaihitaji
 
Mwenye kuhitaji Nokia xl adroid kwa 200 kamili anicheki 0716060948
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ