Nokia smartphones za Android zinapatikana wapi?

the paradox

Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
14
Reaction score
16
Samahani wandugu, naomba msaada wa wapi zinapatikana hapa Tanzania, simu za Nokia android na bei zake. Wasalaam
 
Bado hazjatokA hzo vuta subra
 
hii simu nahisi nitakuwa kati ya watu 10 wa mwanzo kuitumia hapa bongo naisubiri kwa hamu sana kulingana na HMD wenyewe wanadai kuanzia wiki 3 zijazo itakuwa iko world wide
 
Reactions: Ftc
View attachment 512149 hii simu nahisi nitakuwa kati ya watu 10 wa mwanzo kuitumia hapa bongo naisubiri kwa hamu sana kulingana na HMD wenyewe wanadai kuanzia wiki 3 zijazo itakuwa iko world wide
Zitakuwa bei gani maana nimewamic sana nokia,nikiikumbuka nokia yangu 6030 ya kitambo hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…