ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
naomba msaada je nawezaje kutambua simu aina ya nokia original na feki.
model yake haionyeshi ila life time inaonyesha je ni originalata chines mobile zinakubali *#0000#,the guarantee numbey bonyeza *#92702689# kama ni original itadisplay model yake,and life time yake katika masaa
naomba msaada je nawezaje kutambua simu aina ya nokia original na feki.
bonyeza *#7780# italeta option ya restore factory. yah its orgnaomba msaada je nawezaje kutambua simu aina ya nokia original na feki.
-bonyeza alama ya nyota,reli, sifuri,sita,reli halafi ubonyeze kitufe cha kupaga simu
-angalia namba ya IMEI ya simu itakayo tokea... angatarakimu ya sita na ya saba... iliwa ni 00 au10 au 01 au 11 simu yako ni original.tarakimu haizo zikianzia na 3 simu ni feki na ni mbaya kwa afya yako sababu ya mionzi...
ata chines mobile zinakubali *#0000#,the guarantee numbey bonyeza *#92702689# kama ni original itadisplay model yake,and life time yake katika masaa
mr, mbona cm yangu imekubali njia zote ila hii ya *#9270 . . . . imegoma, kwa hiyo inawezekana ni mchina?