Nokia n97 for sale

Nokia n97 for sale

Zasasule

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2009
Posts
1,001
Reaction score
103
NOkia n97 for sale
iko bomba imetumika just for one week,
for more information call this no 0713 813081.
 
je 2 lakis unasemajee
try to call the no!!!n see he might sell it,i dont know!!!couse its not mine ila i have seen da phone na iko powah!!!imetumiaka just for week
 
here is how n97 looks like

nokia-n97-00.jpg
 
here is how n97 looks like<br />
<br />
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=25579&amp;stc=1" class="previewthumb" attachmentid="25579" alt="" />
<br />
<br />
too good to be true. Hiyo simu ni original kweli? Na ni mpya? Kuna haja ya kucheki hayo. Mlimani city is about 1 mil. Mie nilinunua wakati zinatoka 1.5. Inawezekana enh!
 
price starts at laki 4

Mkuu nakubali kweli zimeshuka hizi simu lakini kilo foo! napata mashaka pia, na mbona usiweke picha ya chombo kinachouzwa unaweka vya kwenye net kiongozi? Kifotoe chenyewe kilicho sokoni ndio itakuwa sawa
 
Ah hata wewe unauliza picha si ukabofye kwenye Google


tunaifahamu N97 symbian v9.4 by OS, sio kwamba request ni ya kipumbavu! sisi wateja tunataka kuona ipo katika hali gani mda huu wa mauzo, ukifanya hivyo utatuhamasisha zaidi....
 
Vipi Umeuza mkuu?
Unaanzia laki 4!? n97!...tafadhali naomba utoe betri uipige picha unipostie, ikiwezekana tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom