Nokia lumia 920

Lumia 920 ninayo mpya nahitaji 650 tu!!!
Ipo na kila kitu chake na haijatumika.....
 
Hela unayo nzuri kwanini upigwe bila sababu ? nenda kwa dila wa NOKIA pale mujini ukapate kitu kipyaaa. Kununua used ni sawa na kuoa mwanamke aliye achwa na wengine. Kilichomfanya aachwe kitajotokeza na kwako pia. yata akili yake haitakua origino maana keshachezewa sana kama simu vivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…