Nokia Lumia 800 16 GB from UK

golan

Senior Member
Joined
May 8, 2013
Posts
175
Reaction score
6
Wakuu ninauza simu za Nokia Lumia 800 in new condition complete na accessories zote (boxed) . Hixi simu ni kutoka UK bei 410000 kila moja nina rangi nyeusi , white na blue. Nambs yng 0714 674687 Karibuni niko Dar
 
Simu bado zipo wakuu bei imeshuka pia
 
Tatizo hizo mpesa na huduma nyngne za usd hamna
 
Haya bwana ila nimesema wajue kabisa mana wengine bado hawajajua hicho kitu so kama akiamua hvyo hvyo haina tabu
 
Haya bwana ila nimesema wajue kabisa mana wengine bado hawajajua hicho kitu so kama akiamua hvyo hvyo haina tabu

Simu ziko poa sana kaka zimebaki chache sana , watu wanachukua kaka
 
me pia ni pm ninazo kama hizo kwa 400,000 na pia lumia 520 zote from uk originally
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…