C chenga2015 Member Joined Feb 24, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Feb 27, 2015 #1 Hodi hodi humu wana jamii, jamani Leo nnashida naulizia bei ya nokia lumia 730 au 735 ntapata wapi na sh. ngapi. Nisaidieni.
Hodi hodi humu wana jamii, jamani Leo nnashida naulizia bei ya nokia lumia 730 au 735 ntapata wapi na sh. ngapi. Nisaidieni.
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,265 Reaction score 16,663 Feb 27, 2015 #2 Hapa mfalanyaki zinapatikana ila bei ndo siijui...
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,161 Reaction score 102,979 Feb 27, 2015 #3 Lumia 730 aka superman kwa Kenya KES 27,899 ambayo ni kama Tsh 550,000.kwahiyo unaweza kadiria kwa maduka yetu hapa tanzania tsh ngapi, kumbuka Kenya wanauziwa na Midcom ambao ni dealer wa Nokia source: Nokia Lumia Phones
Lumia 730 aka superman kwa Kenya KES 27,899 ambayo ni kama Tsh 550,000.kwahiyo unaweza kadiria kwa maduka yetu hapa tanzania tsh ngapi, kumbuka Kenya wanauziwa na Midcom ambao ni dealer wa Nokia source: Nokia Lumia Phones
C chenga2015 Member Joined Feb 24, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Feb 27, 2015 Thread starter #4 ngoja niangaike angaike tena .. midcom town sijui zipo