Habari wanajamvi...
naomba msaada simu yangu inagoma ku-upload picha na video kwenye social-network tatizo hili Ni kwa picha nilizopiga na lilianza baada ya kubackup simu,
aina ya simu Ni Nokia Lumia 620