chalii wa ara JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 1,089 Reaction score 1,026 Aug 18, 2014 #1 Nauza Nokia lumia 620 rangi ya blue bahari imetumika miezi miwili bei laki mbili na sabini 270,000/=
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,517 Reaction score 185,649 Aug 18, 2014 #2 chalii wa ara said: Nauza Nokia lumia 620 rangi ya blue bahari imetumika miezi miwili bei laki na nusu 270,000/= Click to expand... Mkuu eleweka na bei yako,umesema bei ni laki na nusu halafu mwisho umeandika 270,000/- sasa bei ni ipi hapo,mm naihitaji lakini eleweka kwanza
chalii wa ara said: Nauza Nokia lumia 620 rangi ya blue bahari imetumika miezi miwili bei laki na nusu 270,000/= Click to expand... Mkuu eleweka na bei yako,umesema bei ni laki na nusu halafu mwisho umeandika 270,000/- sasa bei ni ipi hapo,mm naihitaji lakini eleweka kwanza
chalii wa ara JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 1,089 Reaction score 1,026 Aug 18, 2014 Thread starter #3 mahondaw said: Mkuu eleweka na bei yako,umesema bei ni laki na nusu halafu mwisho umeandika 270,000/- sasa bei ni ipi hapo,mm naihitaji lakini eleweka kwanza Click to expand... Mkuu mbona bei inajieleza laki 270,000/=
mahondaw said: Mkuu eleweka na bei yako,umesema bei ni laki na nusu halafu mwisho umeandika 270,000/- sasa bei ni ipi hapo,mm naihitaji lakini eleweka kwanza Click to expand... Mkuu mbona bei inajieleza laki 270,000/=
chalii wa ara JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 1,089 Reaction score 1,026 Aug 18, 2014 Thread starter #4 Pictures Attachments 1408382307499.jpg 46.9 KB · Views: 113 1408382462991.jpg 34.3 KB · Views: 99
ELIASANTE JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 330 Reaction score 67 Aug 19, 2014 #5 chalii wa ara said: nauza nokia lumia 620 rangi ya blue bahari imetumika miezi miwili bei laki mbili na nusu 270,000/= Click to expand... namba yako ya simu ;yangu 0784413039
chalii wa ara said: nauza nokia lumia 620 rangi ya blue bahari imetumika miezi miwili bei laki mbili na nusu 270,000/= Click to expand... namba yako ya simu ;yangu 0784413039
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Aug 19, 2014 #6 chalii wa ara said: Mkuu mbona bei inajieleza laki 270,000/= Click to expand... naona unazidi kujichanganya. Umesema laki 270,000/= ila nna wasiwasi kama we mwenyewe unaweza kuisoma hiyo bei kwa sauti
chalii wa ara said: Mkuu mbona bei inajieleza laki 270,000/= Click to expand... naona unazidi kujichanganya. Umesema laki 270,000/= ila nna wasiwasi kama we mwenyewe unaweza kuisoma hiyo bei kwa sauti