Luo Senior Member Joined Jan 19, 2012 Posts 139 Reaction score 92 Oct 19, 2015 #1 SIMU YANGU ILIZIMA GHAFLA KAMA MWEZI SASA INATOA NOTIFICATION HII (Lumia 520 ERROR: Unable to find a bootable option. Press any key to shut down) na ni miaka miwili tangu nimeinunua. Je IKIPELEKWA KWA FUNDI SIMU ITAPONA, NAWASILISHA.
SIMU YANGU ILIZIMA GHAFLA KAMA MWEZI SASA INATOA NOTIFICATION HII (Lumia 520 ERROR: Unable to find a bootable option. Press any key to shut down) na ni miaka miwili tangu nimeinunua. Je IKIPELEKWA KWA FUNDI SIMU ITAPONA, NAWASILISHA.
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Oct 19, 2015 #2 Jaribu Nokia Software Updater - Download download hiyo kitu run kwenye pc. Chagua My phone does not start up or respond ikija hii screen.
Jaribu Nokia Software Updater - Download download hiyo kitu run kwenye pc. Chagua My phone does not start up or respond ikija hii screen.
Luo Senior Member Joined Jan 19, 2012 Posts 139 Reaction score 92 Oct 19, 2015 Thread starter #3 hiyo software imegoma ndugu nimedownload mbili tofauti zinz 1.5gb zote lakini mwisho wa siku imerudi palepale.
hiyo software imegoma ndugu nimedownload mbili tofauti zinz 1.5gb zote lakini mwisho wa siku imerudi palepale.
Luo Senior Member Joined Jan 19, 2012 Posts 139 Reaction score 92 Oct 19, 2015 Thread starter #4 nimedownload windows phone updater,lumia software updater na hiyo yako mwisho wa siku inagoma kabisa kuboot.
nimedownload windows phone updater,lumia software updater na hiyo yako mwisho wa siku inagoma kabisa kuboot.
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Oct 19, 2015 #5 Basi hiyo inaweza kuwa hardware problem.
Kaparo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2013 Posts 2,291 Reaction score 5,529 Oct 19, 2015 #6 Ya kwangu nikitumia dk 45 ina heat Sana. Japokuwa sicheki online video. Chaji 3 hrs ina drain kwa ku surf Tu. Majanga tupu
Ya kwangu nikitumia dk 45 ina heat Sana. Japokuwa sicheki online video. Chaji 3 hrs ina drain kwa ku surf Tu. Majanga tupu