Habari za Mchana,
Naomba msaada wa kuweza kutumia internet ya mtandao wa AIRTEL kwenye simu aina ya Nokia Lumia 510. Nimejaribu kuisomasoma ila sijafanikiwa jinsi ya kujiunga.
Nilikuwa natumia "line" hii hii kwenye Blackberry.
Natanguliza Asante kwa msaada wenu.