KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Mar 27, 2012 #1 Wakuu mambo vp? Niko hapa kuwauliza wataalamu wa simu kati ya hizo hapo juu ipi ni bora kuliko nyingine na kwa kuhusu bei Nokia inauzwaje na Samung inauzwaje?
Wakuu mambo vp? Niko hapa kuwauliza wataalamu wa simu kati ya hizo hapo juu ipi ni bora kuliko nyingine na kwa kuhusu bei Nokia inauzwaje na Samung inauzwaje?
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,065 Reaction score 1,035 Mar 27, 2012 #2 kaka yani hii sio a fair competition at all Samsung iko kwenye another level kama unacompare corolla na Lamborghini
kaka yani hii sio a fair competition at all Samsung iko kwenye another level kama unacompare corolla na Lamborghini
KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Mar 27, 2012 Thread starter #3 utakuja said: kaka yani hii sio a fair competition at all Samsung iko kwenye another level kama unacompare corolla na Lamborghini Click to expand... samahani bos sijakupata vizuri unaweza ukanifafanulia kuhusu spec za hizo simu?
utakuja said: kaka yani hii sio a fair competition at all Samsung iko kwenye another level kama unacompare corolla na Lamborghini Click to expand... samahani bos sijakupata vizuri unaweza ukanifafanulia kuhusu spec za hizo simu?
New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,441 Reaction score 2,675 Mar 30, 2012 #4 Nokia e61 mpango mzima kasoro haina camera..samsung hamna kitu.
atubariki JF-Expert Member Joined Oct 26, 2011 Posts 225 Reaction score 17 Mar 30, 2012 #5 Kubari ukatae hakunaga kama Nokia ndo simu bora na nirahisi kutumia kwa mtu yeyote yule
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Mar 30, 2012 #6 atubariki said: Kubari ukatae hakunaga kama Nokia ndo simu bora na nirahisi kutumia kwa mtu yeyote yule Click to expand... yeye anauliza bei na sio sifa za matangazo..
atubariki said: Kubari ukatae hakunaga kama Nokia ndo simu bora na nirahisi kutumia kwa mtu yeyote yule Click to expand... yeye anauliza bei na sio sifa za matangazo..