nokia e52 inhitjika,kama unayo weka na bei

nokia e52 inhitjika,kama unayo weka na bei

Mimi nina E71 nipatie kilo na ishirini tu. Kama kuna aliyetayari ani PM
 
kuna Used Samsung T939 Behold 2 Android
smartphone 3G, 5 MP camera, Wi-Fi,
GPS, ... Price 185,000/=
 
Wakuu me nahitaji simu ya nokia original iwe mpya kabisa na isiyozidi elfu 70,Naomba ushauri wenu ninunue aina gani,sihitaji kuitumia kwa internet,ni kwa kupiga tu na kuandika message,ila nahitaji yenye kioo kipana kwa kuwa nina tatizo la kutokuona maandishi madogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom