mpeleleze taratibu usihamak
ndo nataka mtalam wa sms yani ziwe saved mara mbili
Acha wivu wewe utakuja ua mtoto wa watu bure na kitu chenyewe hakiachiwi hata kovu
sio wivu mkuu ila nahitaji kuishi na mke wangu kwa amani mkuu na hata nikigundua inakuwa rahis kuonya kaka kuacha mke siwezi na vile vile napenda kuwa na familia yenye hashima ila vishawishi ni vingi sana
Acha wivu wewe utakuja ua mtoto wa watu bure na kitu chenyewe hakiachiwi hata kovu
Nakupa dawa hii ila ni chungu. Nenda ovi store download App ambalo linaitwa True caller. Hiyo app ni nzuri sana.
Wanawake wa siku hizi bhana yahani ni shida kwa kweli. Ila utamnasa tu ni rahisi Hiyo simu naifahamu vizuri sana mimi.
Nijibu Maswali haya halafu ntakwambia jinsi ya kufanya
1. Yuko facebook?
2. Ni muda gani anakuwa busy sana? usiku/mchana ama muda wote?
3. Anafanya kazi? Ofisi gani?
Ukinijibu maswali hayo kiufasaha ntakuambia jinsi ya kumnasa
ni vema ukajaribu kuokoa familia yako kwa kuonya ila sidhan kama kuna mtu anaweza kubali mtu mwingine usie mfahamu akuharibie famila yakoMkuu zingatia sana ushauri ulopewa, dawa ni hiyo ila nichungu sana, inaweza kukupa ugonjwa wa Moyo.
hayuko fb wala mtandao wowote ila ni mwajiriwa pale karakana ya ufundi wa magari ya serikali temesa yeye ni kama store kiper
Nakupa dawa hii ila ni chungu. Nenda ovi store download App ambalo linaitwa True caller. Hiyo app ni nzuri sana.
Nakupa dawa hii ila ni chungu. Nenda ovi store download App ambalo linaitwa True caller. Hiyo app ni nzuri sana.
aisee hii dawa itamsababishia pressure si shauri atumie.labda kama anatafuta ushahidi wa kumuacha.
Hebu elekeza mimi hiyo makitu bana. Nyumba ndogo zinakaba tunakosa sababu za kujinasua.aisee hii dawa itamsababishia pressure si shauri atumie.labda kama anatafuta ushahidi wa kumuacha.
aisee huwezi kutengeneza ndoa yako kwa kutafuta sms za mwenza wako, suluhu ni kukaa chini na kuongea.
Kama unatafuta ushahidi wa kutoa talaka sawa.