0909Hekima JF-Expert Member Joined Feb 23, 2013 Posts 226 Reaction score 66 Aug 15, 2013 #1 Ipo ktk hali nzuri...nimeitumia miezi 6, bei ni 75,000 (negotiable) kwa alie tayari ani check 0783181838. Nitakuja ulipo kwa anaeishi Dsm. Ahsante. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ipo ktk hali nzuri...nimeitumia miezi 6, bei ni 75,000 (negotiable) kwa alie tayari ani check 0783181838. Nitakuja ulipo kwa anaeishi Dsm. Ahsante. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
integral sign Senior Member Joined Jul 13, 2013 Posts 160 Reaction score 13 Aug 15, 2013 #2 kuna akina nokia asha wengi. unaye muuza ni yupi sasa. funguka
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Aug 23, 2013 #4 hii sasa inaboa. Unauza mbuzi kwenye gunia? Yaani umeshindwa kuweka picha tu mkubwa? Sasa unadhani watu watanunua kitu wasichokijua? Sio wote wanajua kama wewe unayeitumia. Wengine bila picha bila bila.
hii sasa inaboa. Unauza mbuzi kwenye gunia? Yaani umeshindwa kuweka picha tu mkubwa? Sasa unadhani watu watanunua kitu wasichokijua? Sio wote wanajua kama wewe unayeitumia. Wengine bila picha bila bila.
mpenda pombe JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 1,410 Reaction score 722 Aug 23, 2013 #5 Nokia asha model no gani?? Zipo model nyingi... Tangazo halijajitosheleza mkuu...