Nokia Asha 302 inauzwa sh. 75000/=cash

Nokia Asha 302 inauzwa sh. 75000/=cash

Tayo zeboss

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
467
Reaction score
196
wakuu nauza nokia asha 302 imetumika miezi mitatu tu! kwaiyo bado ipo ktk halinzuri sana pia haina tatzo lolote. sifa za simu ina #whatsap #Internet 3G camera na mengineyo mengi bei ni sh 75000 / = cash 7bu yakuuza nikubadilisha tu mazingira 7bu nataka nitumie android xo kama uko interested njoo whatsap kwa maelezo zaidi pa1 na picha number yng 0713943432
npo dar
 
mzgo bado upo wakuu
 
Attachments

  • nokia-asha-302-all-sides.jpg
    nokia-asha-302-all-sides.jpg
    12.4 KB · Views: 141
Uko Dar maeneo gani niletee tuongee nipo kurasi
 
Mi nna elfu hamsini cash, kama uko tayari ncheki 0714-408238.
 
Mi nna elfu hamsini cash, kama uko tayari ncheki 0714-408238.

dah..! mkuu hyo nainamasiahi kutokana na mali yenyewe jinsi ilivyo 7bu bado ipo ktk halinzuri sana pia haina mkwaruzo wala tatzo lolote
 
Picha ulioiweka watsap imenipa wakati mgumu hata kukutumia txt kaka!!duuuh!balaa hilii!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Picha ulioiweka watsap imenipa wakati mgumu hata kukutumia txt kaka!!duuuh!balaa hilii!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

mkuu kwan hyo picture niliyoiweka watsap ikoje? maana kitambo kwel nimeshaisahau.
 
wakuu niwieni radhi kwa wale wote niliowa promise kuwa leo nitawatafuta kwaajili ya business Nimeshindwa kutokana na mambo kuingilia datz why nikashindwa kuwatafuta kama tulivyokubaliana ila mzgo bado upo wakuu wng nakuanzia juma nne nitakuwa free xo kama bado mtakuwa interested nitawatafuta ila samahani sana!
 
wakuu nimerudi 7bu nilitoka kidogo nikaenda mkoa ila nimerudi pia mzigo upo sokoni rasmi xo unakaribishwa.
 
Attachments

  • Asha.jpg
    Asha.jpg
    342.6 KB · Views: 79
wakuu nauza nokia asha 302 imetumika miezi mitatu tu! kwaiyo bado ipo ktk halinzuri sana pia haina tatzo lolote. sifa za simu ina [HASHTAG]#whatsap[/HASHTAG] [HASHTAG]#Internet[/HASHTAG] 3G camera na mengineyo mengi bei ni sh 75000 / = cash 7bu yakuuza nikubadilisha tu mazingira 7bu nataka nitumie android xo kama uko interested njoo whatsap kwa maelezo zaidi pa1 na picha number yng 0713943432
npo dar
nokia asha 302 bado zipo madukani na kama bado zipo zinapatikana wapi na kwa tsh ngap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom