mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 832
- 997
Mbona zinafanana sana na Itel 2172?feki sana hizo simu...harafu sio nokia.... na kama ni nokia basi wamerudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Nokia za hivyo zilitoka mwaka jana au juzi mwishoni na zilianzia bei ya 105000 kwa eneo nilikokuwa mimi kipindi hicho nashangaa bei imeshuka sana hadi kuwa 35000feki sana hizo simu...harafu sio nokia.... na kama ni nokia basi wamerudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Unakataa kuwa sio Nokia?.feki sana hizo simu...harafu sio nokia.... na kama ni nokia basi wamerudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Hapana mkuu no Nokia 105, najaribu weka picha zaidi naona napata changamotoMbona zinafanana sana na Itel 2172?
Hazijawahi fika hiyo bei ya 105k, labda kama wazungumzia Nokia 3310.Nokia za hivyo zilitoka mwaka jana au juzi mwishoni na zilianzia bei ya 105000 kwa eneo nilikokuwa mimi kipindi hicho nashangaa bei imeshuka sana hadi kuwa 35000
hizo simu ni feki...Unakataa kuwa sio Nokia?.
Kama una njia ya kuthibitisha kuwa sio Nokia Original, sema tuonane nikuletee uhakiki kama ni fake au original.
Sawa mkuu, ni fake.hizo simu ni feki...
Ndugu mwalimu kwa roho mbaya hiyo uliyokuwa nayo usitegemee utaja fanikiwa. Utatafuta wachawi kumbe mchawi ni wewe mwenyewe.hizo simu ni feki...
Hazijawahi fika hiyo bei ya 105k, labda kama wazungumzia Nokia 3310.
Hizo simu k.koo zauzwa 40k - 50k.
Karibu mkuu
Mkuu hzo sina kwa sasa zimeisha, na nashindwa kukuahidi kuzipata karibuni kwa kuwa mizigo inachelewa kufika.Mkuu hizo simu za nokia 3310 kwa wewe unaweza kunitaftia kwa bei gani ukiachana na bei za kariakoo?
Ulinunua kwetu mkuu?.Ni kweli ni feki kuna ambacho nilinunua yani hata sauti ya muito ukiacha simu sebuleni ukiwa dinning husikii na ringtone volume mwisho kweli ni feki sio nzuri simshauri mtu kununua
Sijanunua kwenu mkuu.Ulinunua kwetu mkuu?.
Kwa wateja wetu watajaribu wenyewe kila kitu, na kama akiridhika nayo ndo atalipia. Kwa changamoto hiyo ya sauti kwa hizi hamna zina sauti reasonable kabisa ambayo yatakikana. Ningeweza tuma voicenote ningekutumia kwa sababu kapo kamoja nakatumia mwnyw.
Karibu
Sure soko la Nokia limeingiliwa ...sahv k.koo kuna simu za Nokia copy Yan ukiingia kichwa kichwa ..unauziwa ....sahv Hadi kwa 30000 unapata ila copy ....feki sana hizo simu...harafu sio nokia.... na kama ni nokia basi wamerudi nyuma badala ya kusonga mbele.