Hapana kaka mimi nimeuliza kwa manufaa ya wengine. Maana utakuta mtu yuko mtwara anasema anaenda tabora . alitakiwa kuweka tangazo lililowazi. Niko mahali A tunaenda B na hapo hata yeye huko pm angepunguza maswali maana kila atakayekwenda atamuuliza hayo maswali