SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Wakuu nauliza kati ya Toyota Noah Liteace na Nissan xtrail ipi ni bora (fuel consumption, spares, mainteinance/service etc.? Mizunguko yangu ni hapa hapa mjini na mara chache sana mkoa lami mpaka kijijini...rough road haizidi 2kms.