Noah inakodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali kama vile harusi, kuchukua watu airport, sherehe na matukio mbalimbali mengine.
Bei ni sh. 150,000 kwa siku ila gharama pia zinatofautiana kulingana na shughuli yenyewe.
Pia kuna Toyota coaster inakodishwa. Kwa waandaaji na wenye shughuli mbalimbali wasiliana nami kwa 0758 308193
Visit www.dalali.com magari ni 70,000/= kwa siku ukodishwaji hii ya kwako wakikodi inapaishwa hewani kwa jijiletu lenye foleni za ajabu maana bei yako imechangamka kweli kweli yaaani