M mzawahalisi JF-Expert Member Joined Jan 11, 2010 Posts 752 Reaction score 238 Feb 13, 2011 #1 natafuta gari aina ya NOAH ya bei nafuu, inahitajika mapema iwezekananvyo mwenye nayo tuwasiliane mob: 0784 64 85 24.
natafuta gari aina ya NOAH ya bei nafuu, inahitajika mapema iwezekananvyo mwenye nayo tuwasiliane mob: 0784 64 85 24.
Polisi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,082 Reaction score 643 Feb 13, 2011 #2 Hiyo bei nafuu ndo nini. Mimi ninayo ya 2001. Imeingia nchini october 2010. Unatoa ngapi?
Original Pastor JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 1,274 Reaction score 52 Mar 25, 2011 #3 Ninayo ya mwaka 2002 imeingia mwaka huu Feb Bei 19M inaanzia +255784669533 ni ya Silver Kilomita 60000
Ninayo ya mwaka 2002 imeingia mwaka huu Feb Bei 19M inaanzia +255784669533 ni ya Silver Kilomita 60000
T Tall JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 1,425 Reaction score 168 Mar 29, 2011 #4 mzawahalisi said: natafuta gari aina ya noah ya bei nafuu, inahitajika mapema iwezekananvyo mwenye nayo tuwasiliane mob: 0784 64 85 24. Click to expand... bajeti yako ni ngapi mkuu????
mzawahalisi said: natafuta gari aina ya noah ya bei nafuu, inahitajika mapema iwezekananvyo mwenye nayo tuwasiliane mob: 0784 64 85 24. Click to expand... bajeti yako ni ngapi mkuu????
Polisi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,082 Reaction score 643 Mar 29, 2011 #5 Ninayo ya 2001 imeingia nchini septemba 2010 kama una 13m nipm. Bei haipungui katu
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Mar 30, 2011 #6 ninayo ya 2004 nauza $ 6,500 nitafute gwejungi@yahoo.com
N nasri Member Joined Mar 11, 2011 Posts 59 Reaction score 8 Apr 1, 2011 #7 akiri, hiyo ni noah au vitz/nissan march! utapata wapi noah ya 2004 kwa dola 6,500/=!