Love comes in unexpected times with no effort, nina miaka 32 sina hata GF unaniambia tu nikae nasubri ah weee mi napanga kbsa yani naone mtu
anaelekea kbsa hlf nikae tu wakati li umri linaenda tu watu wenyewe wanakupta kama hawakuoni unamfanya mtu rfk/dada/rfk/dada baada ya mwaka anakupa kadi ya mwaliko wa sendoff yake
halafu unaniambia niendelee tu kukaa naletewa mi kadi ya send off as if mimi ndio chairman. wa sherehe za marafki zangu ninaowaitaga dada,Nina list ya madada "sasa imetosha" saivi napanga kupenda asee sina namna.