Kama No Reforms , No Election imefanikiwa maana yake Uchaguzi Mkuu umesogezwa mbele sio? Na HAUTAFANYIKA tarehe 29/10/2025 kama ulivyopangwa awali sio? Na kampeni zimeaitiahwa ila Rais Samia yupo Iringa leo kwenye ziara ya Kiserikali sio? Basi sawa. Hongereni sana watu wa No Reforms, No Election. Bado Lissu tu KUNYONGWA!!!ππππImefanikiwa kutoa elimu na Watanzania wote sasa wanajua ukweli kwamba chaguzi za Tanzania kwa sasa sio za huru na haki.
Na wanajua mpaka sheria ziboreshwe hakuna chaguzi za huru na haki. Sasa wanajua Tanzania kuna chama kimoja tu cha upinzani.
Hiyo siku ya uchaguzi hata watu wakikaa nyumbani tayari ni ushindi. Hakuna mtu mwenye akili anafikiri kuna chaguzi mwaka huu
Wajiandae kufanya nini?Vijiwe vya kahawa jumatatu wajiandae
Kama No Reforms , No Election imefanikiwa maana yake Uchaguzi Mkuu umesogezwa mbele sio? Na HAUTAFANYIKA tarehe 29/10/2025 kama ulivyopangwa awali sio? Na kampeni zimeaitiahwa ila Rais Samia yupo Iringa leo kwenye ziara ya Kiserikali sio? Basi sawa. Hongereni sana watu wa No Reforms, No Election. Bado Lissu tu KUNYONGWA!!!ππππ
Halafu huwa mnachekesha sana kuamini Mungu ni wa kwenu peke yenu! Ahahahahaha!Mungu wetu, ni Mungu wa haki. Umelaaniwa wewe. Ukuu wa Mungu ulivyo, siyo ajabu, ukatangukia wewe kabla ya Lisu.