Kifaurongo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2010 Posts 4,290 Reaction score 2,438 May 19, 2025 #1 Your browser is not able to display this video.
K Kikambala JF-Expert Member Joined Jun 28, 2008 Posts 305 Reaction score 351 Jun 3, 2025 #2 Katiba mbovu,wizi wa kura,ni upunbavu kabisa.hakuna hajaTena ya kupiga kura ktk nchi hii.chaguzi tatu zimeharibiwa kizembe kabisa,bila aibu Wala woga..
Katiba mbovu,wizi wa kura,ni upunbavu kabisa.hakuna hajaTena ya kupiga kura ktk nchi hii.chaguzi tatu zimeharibiwa kizembe kabisa,bila aibu Wala woga..
S.M.P2503 Platinum Member Joined Nov 25, 2008 Posts 3,668 Reaction score 7,089 Jun 3, 2025 #3 Maana Nyingine ni kwamba Huwezi chagua kitu ambacho matokeo yake yanajulikana tayari…ndio maana ya no election kwa tafsiri isiyo rasmi
Maana Nyingine ni kwamba Huwezi chagua kitu ambacho matokeo yake yanajulikana tayari…ndio maana ya no election kwa tafsiri isiyo rasmi
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 10,258 Reaction score 14,105 Jun 3, 2025 #4 Kwa yanayoendelea ni kama vile CCM wanacheza mziki wa CDM,"No reforms No Election"