Brayan_Jk
Senior Member
- Mar 28, 2025
- 187
- 197
Kama huandiki, haufugi - unabahatisha tu. Bila kumbukumbu, huwezi kujua:
Kiasi cha chakula kilichotumika
Mapato na gharama zako
Idadi ya kuku waliokufa au waliopo
Faida halisi unayopata
Taarifa = Maamuzi.
Unajua unachopoteza, unajua unachopata, na unajua wapi kuboresha ili kuongeza faida.
Pakua Fuga App Playstore - Rekodi kila kitu kwa urahisi na kukupa picha kamili ya shamba lako, muda wowote, popote. Fuga - Apps on Google Play