mbona jana nimeongea kwa whatsap mtu wa tigo na mwingine voda!Wame block zamani sana.. ni kwa mitandao yote hata ya nje...
mbona jana nimeongea kwa whatsap mtu wa tigo na mwingine voda!
Actually network ya Tigo sio mbaya kihivyo, nadhani inategemea eneo na eneo. Kuna sehemu ambazo nikoendaga hata sijishughulishi na ishu za internet, ila nilipo ipo owwkey, last week tu nimetumia watssap call kwa 30min na siwezi ku-complain. Mpaka ku-download movies na series nadownload. Jana yenyewe nilipata bonge ya surprise kwa dakika chache, ilikuwa ina-download kwa 1.6mb/s, yani 6min episode moja ya serie iko tayari.Aisee!
Mkuu lakini hata wasinge block kwa network ya mtandao wako tajwa hapo juu haina utamu wowote
Ijaribuni imo ni nzuri sn,mimi huwa naitumia kuwasiliana na familia yangu sababu nipo mbali nayo ina njia mbili by voice au video,miye huwa natumia video kuiona familia yangu iko poa sn
Mkuu Nadhani ukihamia huku utaona tofauti kubwa, mimi natumia airtel yaani hawa watu kwakweli network yao ipo stable allover the city, speed yao inawakalisha tigo kwa mbali sana, jaribu na utaleta mrejesho humu mimi nishatumia sana tigo ila tulishindana kabisa kwenye speed ya internet yao!Actually network ya Tigo sio mbaya kihivyo, nadhani inategemea eneo na eneo. Kuna sehemu ambazo nikoendaga hata sijishughulishi na ishu za internet, ila nilipo ipo owwkey, last week tu nimetumia watssap call kwa 30min na siwezi ku-complain. Mpaka ku-download movies na series nadownload. Jana yenyewe nilipata bonge ya surprise kwa dakika chache, ilikuwa ina-download kwa 1.6mb/s, yani 6min episode moja ya serie iko tayari.
We huo mtandao unaotumia speed yake ikoje? Naweza nikakimbilia huko ;-)
Hivi upo? Kitambo kweli mweh! Mi bahati mbaya situmiagi hiyo kitu nikitaka kuwasiliana na watu wa hukoooo tunaenda skypeHey guys.
Leo nimeshangaa kukutana na 'BLOCK' kwenye watssap call. Jumapili ya wiki iliyopita nilitumia na ilikuwa inafanya kazi vizuri kabisa, ila leo nimeshngaa kuambiwa kwamba "Your mobile carrier doesn't support watssap calls" kama inavyoonekana kwenye attachment.
Google nimejifunza kwamba ni kitu ambacho kipo tayari, mitandao ya simu inajaribu kupambana na watssap kwasababu wanaona wanapoteza mapato somehow. Binafsi natumia mtandao wa Tigo, kwa maana hiyo wao wameshaanza kutubania watumiaji. Mnaotumia mitandao mingine vipi? Mnaweza kujaribu tujue kama wote wame-block au la?
Wi-fi ndo itakuwa mkombozi kwenye hili.
Naamini ni aina ya kifurushi kama una hakika eneo ulipo hakuna tatizo la internet. Mana nimeongea na mtu leo takribani saa nzima, anatumia tigo na tumesikilizana vizuri tuActually network ya Tigo sio mbaya kihivyo, nadhani inategemea eneo na eneo. Kuna sehemu ambazo nikoendaga hata sijishughulishi na ishu za internet, ila nilipo ipo owwkey, last week tu nimetumia watssap call kwa 30min na siwezi ku-complain. Mpaka ku-download movies na series nadownload. Jana yenyewe nilipata bonge ya surprise kwa dakika chache, ilikuwa ina-download kwa 1.6mb/s, yani 6min episode moja ya serie iko tayari.
We huo mtandao unaotumia speed yake ikoje? Naweza nikakimbilia huko ;-)