No holds barred: Rwandan troops are the solution for Gaza

Kwanza mimi si mwanamke hapo inaonyesha wazi hujui mimi ni nani.

Pili nilikuwa nasema Rwanda hawezi kufanya kitu, sio yeye hata afrika mashariki yote hawamuwezi Hamas.


Haya niambie JWTZ lina kitu gani ambacho kinaweza kuwapa ushindi kwa Hamas, silaha zao zero, experiance ya vita zero we unadhani kujua kuongea sana ndio kutawapa ushindi, nimesema JWTZ kivita wako nyuma sana kwa Hamas sio wao tu, wajikusanye na Africa mashariki yote. Hawataweza kumpiga Hamas.


Tube ni dalili za kuonyesha watu wako kazini, sa we tupe tube inayo onyesha JWTZ wanapigana vita kama wanazo pigana Hamas, afu utazame nani mwanaume.

We ndio kasome na ujue vita sio mdomo, wabongo nyie ni mdomo mwingi tu hakuna uwezo wa kijeshi mnao zaidi ya kupigana na vi nchi jiran ambavyo ni lala hoi hata ki group cha somali, kinawato makasi nchi za Africa, mpaa mmekusanya majeshi ya nchi kumi na hamkukiweza.

Sa ndio mtawaweza Hamas, hivi we uko sawa kweli.


Wajinga kama nyie ndio mnaamini Tanzania kuna Jeshi, yes mnajeshi lakupiga gwarede na kupigana na nchi kama Malawi au Rwanda kwa sasa, hata Uganda anaweza kuwatoa makamasi sa ndio mkapigane na Hamas hahaha.


BTW ukweli huwa unauma sana siku zote na hamuwezi kuzuia ukweli, kama mnaota mna jeshi ka kupigana na Hamas, basi mmelala sana..
 

Haya Kweli hamas ina nguvu sana,tena nasikia wanatengeneza hata silaha wakati israel wanategemea misaada kutoka nchi zingine! Hamas ni miongoni mwa wauzaji wa sialaha wakubwa kabisa duniani,wana technology na niwajuzi sana wa vita kwa kweli na kwa upande wa ndege wanazo nyingi sana za kisasa walizotengeneza wenyewe na wanaziuzia nchi nyingi tu.Tanzania hakuna jeshi kama ulivyosema na kwekweli hatuwezi hata kupigana na nchi yeyote maana tutapigwa sana kwakuwa sisi ni watanzania basi kupigana hatuwezi kabisa na hata waganda wametufundisha vita tutawezaje kupigana nao ni kweli kabisa kama ulivyosema watatutoa makamasi.

Watanzania sisi hatujui kitu ila mnajua nyie waarabu mliokuja kama wageni tukawakaribisha na sasa mnatutukana maana nyie ni superior race! na mna akili nyingi sana na bahati nzuri nakujua vizuri sana ila sababu ya ujinga wetu watanzania siwezi kukutaja ingawaje unatumia jina bandia hapa.Kumbuka kitu kimoja aliye lala usimchokoze akiamka utalala wewe na kumbuka ukiingia kwenye mitandao ujue uko uchi kabisa!

HAMASI SIYO MCHEZO BWANA!!
 
Sa unafikiri Hamas hategenezi silaha, unadhan hao JWTZ hahaha.

http://www.timesofisrael.com/hamas-tv-airs-footage-of-local-missile-production/#!

[video]http://www.israeltoday.co.il/NewsItem/tabid/178/nid/24846/Default.aspx[/video]

http://www.latimes.com/world/middleeast/la-fg-hamas-drone-20140715-story.html
 
Hujanielewa nimekuambia ni kweli wanatengeza na wako vizuri sana Hamas
Safi sana kama umeisha elewa sio mje hapa kujisifu mnajeshi, jeshi la kupiga gwaride labda hahaha Umeona wanaume walivyo mkomesha Israel sa nyie ndio nadhani Bongo itazama kabisa, ikiwa Israel Iron Dome haikuziwia, nyie na JWTZ labda mtazizuia na midomo yenu.
 
Last edited by a moderator:

Sasa mkuu dozens za rockets hzo za magaidi wamerusha ngap kwenda Israel na ngap zimeingia Israel?na wao wamepigwa makombora mangap na waisrael na wao waarab wameweza kuzuia mangap yasiingie kwao!
 
Sasa mkuu dozens za rockets hzo za magaidi wamerusha ngap kwenda Israel na ngap zimeingia Israel?na wao wamepigwa makombora mangap na waisrael na wao waarab wameweza kuzuia mangap yasiingie kwao!
We wachana na kelele za Israel, siku zote lazima ujuwe Israel huwa hasimamishi vita au kukubali kusimamisha vita kama hajazidiwa. Kipigo walicho kipata kutoka kwa Hamas mpaa waka sema hivi wale ma intelligenc officer wa Israel tunashaka Syria, Iran and Hezbollah could have taught Hamas new tactics over the Internet.

Hamas uses new tactics and weapons to deadly effect.

Hamas uses new tactics and weapons to deadly effect - The Globe and Mail

Al Saray Al Quds Al (Quds brigades) wamepiga wao peke yao 3249, silaha walizo tumia na Israel hajazuia zaidi ya 5% tu ya hizo.


Al Qasam brigades wao wamepiga 4,500 Walizo angusha Israel ni 15% tu ya hizo sa we jiulize hasara ngapi Israel kaficha.

Israel yeye kauwa tu watoto, wanawake na wanaume wasio jua kushika silaha na kuvunja majumba, kafanya nini Al Qasam na Al Saraya Al Quds WAKO VILE VILE na Israel anaogopa wasije anzisha vita tena, Israel yuko kila siku kumbembeleza Egypt awapoze Hamas, ili Natanyahau abaki kwenye kiti hahaha.
 

magaidi bwana mnchekesha sana! Yale majitu ya hamas ni magaidi.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu sijui kama kichwa chako ni kizima. Rudia mada ya mtoa thread. Amezungumzia Rwanda,Israel na hamas. Hakuna popote alipotaja jwtz. Sasa naona wewe umekazana kulijadiri Tanzania na JWTZ tu. Upo nje kabisa na uzi na mada iliyowekwa. Sasa sijajua kama ni hitilafu kichwani au kwamba haujui kiingereza!
 
We ndio huna kitu kichwani fatilia niliongea nini kwanza kabla ya kuja kwa JWTZ.

Kizungu sidhani kama kinanipiga chenga kama wewe, na hata kama kikinipiga chenga mimi si mzungu na sitaki kuwa mzungu:cool2:
 

Hili pumbavu linanikera . Yeye yuko kusimamia dini kupita ndugu zake.We dini yako ya kishenzi ungeijua wapi kama sio mabahasha zako kuja kufanya biashara uwanda wa pwani ya hindi?
Ushabiki wakijinga kisa dini? Na ngoja siku inakuja ambayo tutasimamia dini upanga kwa upanga. Mpumbavu kabisa! Jwtz haikuhuu wewe na ukitaka uame nchi.
 
Hahaha mimi kwani niko Tanzania, nikisema nyie vichaa mnabisha sa mnadhani JF inapatika Tanzania tu hahaha au mnataka tusema JWTZ lina nguvu kuliko Hamas, ikiwa somali mmeogopa kupeleka jeshi mnajua mtajulikana hamna uwezo mnadandia kule hakuna jeshi, sa Congo kuna jeshi au wapiga music tu .

Afu we usije sogea kwenye dini sababu mimi sishindwi na mtu ana miungu wawili, Ukristo ni dini yenye miungu wawili, sio mmoja, na dini yenye Mungu zaidi ya mmoja sio dini sababu kuna Mungu mmoja kalaniwa kutokana na Bibilia yenu.

Hivi Yesu atawaokoaa nyie na wakati mnasema kwenye Bibilia amelaniwa? Hivi nyie wakristo mna akili kweli.

Tazama hapa mfano; GALATIA 3:13. Kwa mujibu wa andiko hilo Yesu amelaniwa na Mungu. Vipi mwenye laana aweze kuokoa watu? Nendeni mkaihubiri Bibilia kwa kila kiumbe. Nami ni kiumbe nataka kufundishwa Bibilia na nyie mnayoijua Bibilia; Galatia 3:13 na Kumbukumbu la taurati 21:22 maandiko hayo yanamaanisha niniii.
 

Utakaa ukikesha kuelewa biblia wakati huna dhamira ya kuilewa. Sina haja kubishana na mtu mjinga na mpumbavu. Kukaa kwako njee au uwe muhutu huwezi kuikashifu nchi yangu na jeshi letu. Hii nchi ina mkono mrefu chunga sana we nguruwe wa muhammad.
 
Utakaa ukikesha kuelewa biblia wakati huna dhamira ya kuilewa. Sina haja kubishana na mtu mjinga na mpumbavu. Kukaa kwako njee au uwe muhutu huwezi kuikashifu nchi yangu na jeshi letu. Hii nchi ina mkono mrefu chunga sana we nguruwe wa muhammad.
Sisi hatuli nguruwe ni wakristo ndio mnakula nguruwe hahaha.

Kuhusu Jeshi la Tazama hapa ujuwe hata jeshi la somali wana nguvu kuliko JWTZ, ni ujinga wenu mnadhani eti mna jeshi kali, nenda kamulize General Davis Mwamunyage, kama mnauwezo wa kupigana na Al shabab peke yenu nyie atakujibu.

Angalia chini hapo wanakubaliana na mimi , ni wajinga tu wa bongo ndio wanabisha.

African Powers Ranked by Military Strength - 2014
 
Rwanda haina uwezo kupigana na hamas kabisa. na hawatakuja kuwa na uwezo huo. kama wameshindwa kuwapiga hawa mbulula FDLR wawawaweza hamas? vilevile, jeshi la Rwanda sio imara sana isipokuwa wanayo advantage ya kuwa na rais mwenye ujasiri anayependa kujilipua. namfananisha kagame na saddam hussein. sadam aliihakikishia marekani kuwa ikiingia iraq anao uwezo kupigana nayo, huo ulikuwa ujasiri mkubwa sana ulioifanya dunia hasa nchi za kiarabu kuamini kuwa saddam na iraq yake ina uwezo mkubwa sana. matokeo yake marekani walitumia siku 21 wakamkamata, vifaru vyake vingi na ndege nyingi zilifulitiwa mbali.

sasa kagame anajiamini sana lakini strategically nchi yake ilivyo, anaweza kushindana tu na nchi kama burundi. ila hana uwezo kupigana na tz, uganda wala kenya. zaidi ya yote nchi yake ambayo sawa na mkoa mmoja ameijenga kwa uchungu mkubwa sana tena kwa pesa za msaada na wizi wa madini ya congo hivyo asingependa hata siku moja gorofa lake (kwa vile vigorofa vichache vya pale kigali) lidunguliwe kwasababu anaweza asiwe na uwezo kulijenga tena. rwanda haina uwezo kuingia vitani na nchi yeyote east africa ila inaweza kushindana na waasi tu.

na kwa hamas, wanajeshi wa rwanda wakipelekwa gaza nakuhakikishia yatarudi majeneza wote. hata jwtz ikienda kule watarudishwa majeneza wengi sana kwasababu vita ile ni vita inayopiganwa katikati ya jiji kwenye raia na raia wanafanywa ngao. inatakiwa kupiganwa kwa umakini sana kwa kuheshimu sheria za kivita na kupunguza collateral damage kwa civilian. na inahitaji vifaa vya kueleweka sio tuvifaa kama twa jeshi la rwanda. ndio maana israel pamoja na kwamba wanaijua gaza in and out kila mtaa (ndio maana wanajua hadi wapi nyumba za viongozi wa hamas zipo na wanazibomoa) bado makomandoo wao karibia sabini wameuawa.

hata hivyo, Mungu ibariki israel, na solution ya israel italetwa na Mungu mwenyewe na sio kipanya fulani toka rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…