utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Mar 5, 2014 #2 Mola mlezi mlinde na kila maradhi mtoto huyu------amin
mnyepe JF-Expert Member Joined Dec 1, 2008 Posts 1,907 Reaction score 661 Mar 5, 2014 #3 Hiyo Tanzania au?
Ligogoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 3,502 Reaction score 6,460 Mar 5, 2014 #4 Daah!! Then unakuta watoto wa namna hii hawaumwi magonjwa ya tumbo kamwe, peleka cha kwako kilichozoea maji ya chupa kinywe kama hayo uone.....!! Hapo ndipo Mungu anapodhihiri uwepo wake bana.
Daah!! Then unakuta watoto wa namna hii hawaumwi magonjwa ya tumbo kamwe, peleka cha kwako kilichozoea maji ya chupa kinywe kama hayo uone.....!! Hapo ndipo Mungu anapodhihiri uwepo wake bana.