No comment

Nitarudi kuangalia mazishi yalikuwaje!
 
Hawa si ndo wale simba wanaotumiw na comedians or kukaa makumbusho akiungurun watoto wanacheka..hadi taarabu hucheza..pia
 
Hawa simba wa siku hizi!! simba anapewa chapati na chai asubuhi unategemea nini? akipita panya karibu yake anatoka mkuku mbaya.....
 
Kwa mbali naona zizi, wa kufugwa hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…