L Lusoli JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 258 Reaction score 80 Feb 9, 2014 #2 Maisha bora kwa kila mtanzania.
Domhome JF-Expert Member Joined Jun 28, 2010 Posts 3,198 Reaction score 3,975 Feb 9, 2014 #3 <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->englibertm<!-- google_ad_section_end -->, nina imani bati na simenti vingeuzwa tshs 5,000/=@ familia hii ingemudu kujenga japo kajumba kadogo bora.
<!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->englibertm<!-- google_ad_section_end -->, nina imani bati na simenti vingeuzwa tshs 5,000/=@ familia hii ingemudu kujenga japo kajumba kadogo bora.
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Feb 9, 2014 #4 Nchi hii watu wake hawakupaswa kuishi maisha haya kutokana na kusheheni rasilimali nyingi kama tu viongozi na watendaji wake wangekuwa waaminifu na kutoingia mikataba feki inayodidimiza watz.hakika inauma sana
Nchi hii watu wake hawakupaswa kuishi maisha haya kutokana na kusheheni rasilimali nyingi kama tu viongozi na watendaji wake wangekuwa waaminifu na kutoingia mikataba feki inayodidimiza watz.hakika inauma sana
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Feb 9, 2014 #5 kama sio dodoma basi itakuwa singida