No Comment

Halafu anasema atawafukuza, siamini hata kidogo mpaka iwe
 
Hahahahahahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hapa walikuwa bado hawajawa MAGAMBA dats why mkulu aliwashika mikono kuwaombea KULA. Jk oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!
 
siasa si lele mama
 
wapi!??? kuwafukuza hao kwenye chama ni sawasawa na Moyo kuacha kusukuma damu mwilini!
 
Hahahahahahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hapa walikuwa bado hawajawa MAGAMBA dats why mkulu aliwashika mikono kuwaombea KULA. Jk oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!

nimeingia cha kike walah,kumbe na ww swety uko kwa mafisadi.
 
Msomali na mwarabu, sitegemei waipende Tanzania kiasi cha KUITUMIKIA; wanaipenda kiasi cha KUITUMIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…