Msaada wakuu laptop haina sauti, kwenye icon ya voice imeweka red X.nmejaribu Ku update drivers bado..ila pia nikijaribu kuangalia device manager sioni driver yoyote ya Sauti.
laptop ni Toshiba NB 255.MSAADA WAKUU
1.chomeka headphone uone kama sauti itatokea kwenye headphone.
2. Fungua windows media player na ukubali (RECOMMENDED SETTINGS) next ,,,finish.
3. Jaribu sauti kwa kutumia headphone tena.
4. Toa headphones na ujaribu tena