No age bright sublime

No age bright sublime

blinky255

Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
28
Reaction score
7
UKIONA DALILI ZIPI UJUE SETI HII INAKUFAA:

1.Ngozi kua na alama au ramani za kuungua na jua
2.makovu au madoa yaliyoachwa na chunusi
3.Ngozi kufubaa
4.na mistari kama vile unaanza kuzeeka...
5.rangi za ngozi yako haziko sawasawa

Hii ni kwa ajili ya umri wa miaka 25+ na kuendelea kwa watu wenye tatizo husika...

Imetengenezwa na:
Multibright technology
Gardenia plant stem cell extract

MATOKEO:
▫Hung'arisha ngozi kwa 40% na huondoa makovu kwa 50% baada ya wiki 12 za kutumia...
▫Hupunguza mistari inayokuja kuwa makunyazi

Utaona matokeo haya Iwapo utatumia seti nzimaView attachment 590363
 
Back
Top Bottom