Nmemkumbuka mwalimu wangu wa Primary

Halafu inapita miezi sita bila kupata mshahara; hii serikali ya magamba wahuni kweli kweli!!
 
ha ha hahaaha ha uwiii alikuwa nafanyia mazoezi ubaoni
 
Mimi namkumbuka Mwalimu wangu wa Kiswahili darasa la tano (5) alikuwa anavaa SAFARI BOOTS.....Kipindi cha mchana akiingia darasani after lunch anazilegeza gidamu za Safari boots zake!!!! Harufu iliyokuwa inatoka hadi leo tukutanapo wanafunzi wa darasa letu tuliobakia hai-Safari boots za Mwalimu huwa moja ya MJADALA NA KICHEKESHO kikubwa zaidi kwetu🙂
 
Wasipofaulu hao wanafunzi wake ndio basi tena........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…