nmechanganyikiwa msaada plz

nmechanganyikiwa msaada plz

emboaba

Senior Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
143
Reaction score
117
mi mwalm nlpata wa kubadilshana kituo cha kaz na mchakato kwa upande wangu nshamalza(it means kuanzia kuandka barua na kuzsign kote na kupewa kbal kule nnako taka kuhamia na huku nnakotoka na nshavpeleka mkoan) tatzo lpo kwa yule mwenzangu bado hajakamilsha mkoan
je sababu hii itaathiri uhamisho kwangu nliemalza hatua zote..natangulza shukran

"matusi hayajeng"
 
Bilashaka utakuwa mwalim wa KIKE maana unaonesha uwezo wako wa kufikiria ni sawa na mtoto wa kiume wa miaka 9
 
Wewe endelea kufuatilia process zako za uhamisho wala usichanganyikiwe. Hatua uliyofikia ni nzuri na kikubwa ulishakubaliwa na ngazi zote kuhama. Utakaporipoti shuleni na huyo mwalimu hajahama hiyo ni shauri yake na wala halitaku affect wewe. Usiwe na wasiwasi wala habari za huyo usiziongelee wewe fuatilia mchakato wako tu.
 
busara ni kukaa kmya ka huna la kuchangia
 
mi mwalm nlpata wa kubadilshana kituo cha kaz na mchakato kwa upande wangu nshamalza(it means kuanzia kuandka barua na kuzsign kote na kupewa kbal kule nnako taka kuhamia na huku nnakotoka na nshavpeleka mkoan) tatzo lpo kwa yule mwenzangu bado hajakamilsha mkoan
je sababu hii itaathiri uhamisho kwangu nliemalza hatua zote..natangulza shukran

"matusi hayajeng"

aliechanganyikiwa hajijui
 
Back
Top Bottom