Mkuu kwema? Siku nyingi hatujaonana.
Samahani, kijana alikuwa amechaguliwa vyuo vinne, nikamshauri akitumiwa code a-confirm MWEKA, code number alisumbuka kuipata, alivyo piga simu Udom wakamsaidia kuipata, akawaonea huruma akaamua ku-confirm UDOM.
Nifanyaje ili aende MWEKA?