M Mangungo wa mwibara Member Joined Feb 22, 2014 Posts 29 Reaction score 3 Jul 22, 2014 #1 wadau naomba kama kuna mwenye detail atujuze, niliomba mkopo nimeenda kufuatilia nikaambiwa wamepewa taarifa kutoka makao makuu kuwa wasitishe kutoa mikopo.
wadau naomba kama kuna mwenye detail atujuze, niliomba mkopo nimeenda kufuatilia nikaambiwa wamepewa taarifa kutoka makao makuu kuwa wasitishe kutoa mikopo.
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 58,041 Reaction score 134,312 Jul 22, 2014 #2 Wasitishe kutoa mkopo watafanyaje biashara, huyo loan officer akupatie hiyo barua, unless otherwise kakuona ''mbugilu'' anataka umkatie chake ndo kielweke
Wasitishe kutoa mkopo watafanyaje biashara, huyo loan officer akupatie hiyo barua, unless otherwise kakuona ''mbugilu'' anataka umkatie chake ndo kielweke