Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,527
Shukrani zitaambatana na kurudisha Pesa zakoWhere We Dare To Talk Openly
Wakuu habari, iv hawa nmb nikiraka kuwafanyia umafia na kunilipa usumbufu nawafanyaje?
Ni hivi, nilikuwa nadsiwa mkopo ambao ulikuwa unaisha mwezi wa kumi na moja, maana si huwa wanakata kwenye mshahara.
Sasa kama unavyojua wanajeshi, kuna ka rations na hela ya vinywaji.
Ukijumlisha ni kama laki 6 na point,
Cha kushangaza mwezi wa 12 mshahara nimetoa vizuri tu wala hawakukata, ila ikaja kwenye ration na vinywaji nashangaa wamekwapua hela yote.
Nimewandikia barua nikiambatanisha bank statement na payslip inayoonyesha hawanidai kabisaa, nimepeleka jana na mpaka sasa naona wananitumia sms sijui wananishukuru kwa kuws mteja wao mara nini. Yani wananitia hasira sana.
Naanza kuhisi hivyo, nawaza ikitokea waka ni mute nichukue hatua gani?.Bank zote ni wezi mkuu
Sawa mkuu ila sijajua wata take muda gani?, maana duh.Shukrani zitaambatana na kurudisha Pesa zako
Mwendee MenejaNaanza kuhisi hivyo, nawaza ikitokea waka ni mute nichukue hatua gani?.
Mkuu huyo nimeshaongea nae, sasa nasubiri, ila naona wananichelewesha tu.Mwendee Meneja
Kwa maelezo umesema wewe ni mwanajeshi ila mwandiko wako na sauti vinaonesha wewe ni mwalimu.Where We Dare To Talk Openly
Wakuu habari, iv hawa nmb nikiraka kuwafanyia umafia na kunilipa usumbufu nawafanyaje?
Ni hivi, nilikuwa nadsiwa mkopo ambao ulikuwa unaisha mwezi wa kumi na moja, maana si huwa wanakata kwenye mshahara.
Sasa kama unavyojua wanajeshi, kuna ka rations na hela ya vinywaji.
Ukijumlisha ni kama laki 6 na point,
Cha kushangaza mwezi wa 12 mshahara nimetoa vizuri tu wala hawakukata, ila ikaja kwenye ration na vinywaji nashangaa wamekwapua hela yote.
Nimewandikia barua nikiambatanisha bank statement na payslip inayoonyesha hawanidai kabisaa, nimepeleka jana na mpaka sasa naona wananitumia sms sijui wananishukuru kwa kuws mteja wao mara nini. Yani wananitia hasira sana.
Kama kila kitu kiko sawa watarudisha ila ni lazima ufuatilie. Ukikaa kimya wanakaa kimya pesa inapoteaNaanza kuhisi hivyo, nawaza ikitokea waka ni mute nichukue hatua gani?.