MGOGOHALISI JF-Expert Member Joined Apr 16, 2011 Posts 4,510 Reaction score 6,607 Dec 28, 2020 #1 Yaaani watu tumejaa foleni wafanyakazi wanapiga stori huku wamemweka mtu mmoja dirishani. Hata kama mmetoka sikukuu mjue muda wa kazi huu. Naandika uzi huu nikiwa kwa foleni inakera sana.
Yaaani watu tumejaa foleni wafanyakazi wanapiga stori huku wamemweka mtu mmoja dirishani. Hata kama mmetoka sikukuu mjue muda wa kazi huu. Naandika uzi huu nikiwa kwa foleni inakera sana.