NMB Songea Branch, ubababaishaji utaisha lini?

ukimbile

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2015
Posts
212
Reaction score
55
Katika Tanzania hii NMB Songea mmezidi ubabaishaji. Subirini wachukue nchi UKAWA benki ifumuliwe. Kila siku network haipo kwenu. Foleni kuzidi ya BVR. ATM moja inahudumia watu wawili hadi jioni. Mara kadi imemezwa, mara benk teller kaenda kula.

Kwa ufupi huduma ni mbovu, mashine ni mbovu mji mzima ni nyinyi tu. Serikali inatukomoa kupitishia mishahara benki hii haswa excheque!
 
Pole kamanda.Ccm inaharibu sana nchi hii.Nilipita jana mitaa hiyo nikakuta mumefika hadi kwa waganga wa kimasai.Ile foleni mmmmh
 
Hapo ccm imeingiaje!!!!
Nmb nalo limekua tawi la ccm??
 
Katika Tanzania hii NMB Songea mmezidi ubabaishaji. Subirini wachukue nchi UKAWA benki ifumuliwe. Kila siku network haipo kwenu. Foleni kuzidi ya BVR. ATM moja inahudumia watu wawili hadi jioni. Mara kadi imemezwa, mara benk teller kaenda kula.

Kwa ufupi huduma ni mbovu, mashine ni mbovu mji mzima ni nyinyi tu. Serikali inatukomoa kupitishia mishahara benki hii haswa excheque!

Mkuu nieleweshe hapo kwenye excheque ni nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom